Jamii ya waaminio wanaomwamini Kristo
Kanisa letu limejegwa kwenye msingi wa kufundisha Neno la Mungu, umisheni, sifa na ibada na kuhudumia jamii.
Arusha CBD mkabala na Arusha Meat, mita 200 kutoka barabara kuu
Huduma kwa yatima, wazee na familia.
Changia kazi ya Mungu.
Wasiliana nasi.