Huduma ya Wanaume inalenga kujenga wanaume wenye imani imara, wanaoweza kuongoza familia zao na jamii kwa hekima na upendo. Tunajikita katika maombi, mafunzo, na ushirikiano ili kuwa wanaume wa Mungu katika kila eneo la maisha.
Maombi
Kujifunza Neno
Mara kwa mara - Kujenga na kukarabati
Shughuli maalum na ushirika wa wanaume kanisani
Jumapili: 08:30AM
Huduma Kuu (Siku ya Ibada)