Jamii ya waaminio wanaomwamini Kristo
Kanisa letu limejegwa kwenye msingi wa kufundisha Neno la Mungu, umisheni, sifa na ibada na kuhudumia jamii.
Abudu nasi Jumapili hii
Arusha CBD mkabala na Arusha Meat, mita 200 kutoka barabara kuu