Huduma ya Wanawake ni mahali ambapo wanawake wote wanakaribishwa kukua kiroho, kushirikiana, na kusaidiana katika safari yao ya imani. Tunawaunganisha mama, binti, na dada kupitia maombi, mafunzo na huduma kwa jamii.
Maombi na ushirikiano
Kujifunza Neno
Mara kwa mara - Kusaidia familia zinazohitaji
Kila mwezi - Mafunzo ya ukuaji wa kibinafsi
Jumanne ya wiki ya 2 & Mwisho wa Mwezi: 17:00hrs
Women Talk, Maombi, Neno la Mungu, n.k.