Pakua picha na video za matukio ya kanisa hapa chini.
Timu ya Media inahakikisha ibada zinamfikia kila mtu kwa sauti safi, video bora, na matangazo mtandaoni.
Kila Jumanne 5:00PM - Mixer, mics, gain staging
Kila Alhamisi 5:00PM - Framing, lighting
Kila Jumamosi 2:00PM - Kupakia na kusambaza
Kusimamia uwasilishaji wa nyimbo, maandiko, na matangazo kwenye projector kila ibada.
Jumanne: 5:00PM
Mafunzo ya Sauti
Alhamisi: 5:00PM
Video & Kamera
Jumamosi: 2:00PM
Livestream & Uploads
Jumapili: 8:00AM - 2:00PM
Projection (projector), kupiga picha, kurekodi video na kuhariri content zote za ibada.