Lugha / Language

Umechagua lugha. Jaribu tena?
Children Ministry

Huduma ya Watoto

Kuwalea watoto katika njia ya Bwana

Jinsi ya Kujiunga: Mtoto anaweza kujiunga kwa kufika kanisani Jumapili saa 3:00 asubuhi, au mzazi anaweza kumleta na kuwasiliana na kiongozi wa huduma. Hakuna usajili wa mtandaoni.

Kuhusu Huduma Yetu

Children Ministry
Children Ministry

Huduma ya Watoto inalenga kuwalea watoto katika misingi ya Neno la Mungu kupitia mafunzo, michezo na ibada rahisi.

Malengo Yetu

  • Kujenga msingi wa imani tangu utotoni
  • Kufundisha maadili kwa njia ya ubunifu
  • Kuwaweka watoto salama na furaha
  • Kusaidia wazazi katika malezi ya kiroho

Shughuli Zetu

Activities
Activities
Ibada ya Watoto - Jumapili

Muda: Kila Jumapili 9:00AM

Shughuli:

  • Kusoma Neno la Mungu
  • Kuimba Nyimbo za Watoto
  • Kutafakari Neno
  • Sifa na Ibada

Walimu Wetu

Timu yetu ya walimu wanajitolea na wenye uzoefu katika kufundisha watoto Neno la Mungu.

Lead Teacher
Mwalimu Mkuu
Uongozi na Mpango

Anaongoza timu ya walimu na kushughulikia mipango ya masomo.

Assistant Teachers
Walimu Wasaidizi
Ufundishaji na Msaada

Wanasaidia katika kufundisha na kushughulika na watoto.

Mwalimu wa Muziki
Nyimbo na Ibada

Anafundisha nyimbo za watoto na kuongoza ibada.

Wajitolea
Msaada na Ulinzi

Wanasaidia katika shughuli na kuhakikisha usalama wa watoto.

Wasiliana Nasi

Karibu watoto wote kwenye huduma ya watoto!

+255 620 846 925
Children Ministry

Ratiba ya Mikutano


Jumapili: 9:00AM

Ibada Kamili ya Watoto

Tunachofanya:

  • Kusoma Neno
  • Kuimba
  • Kutafakari
  • Sifa na Ibada
Child 1
Child 3
Child 4
Jiunge Nasi!

Watoto wote wanakaribishwa kujifunza na kufurahi pamoja.

Hakuna usajili wa mtandaoni. Mtoto anaweza kujiunga kwa kufika kanisani Jumapili saa 3:00 asubuhi, au mzazi anaweza kumleta na kuwasiliana na kiongozi wa huduma.
Piga Kiongozi

Picha za Huduma ya Watoto

Gallery Image 1
Gallery Image 2
Gallery Image 3
Gallery Image 4
Gallery Image 5
Gallery Image 6
Gallery Image 7
Gallery Image 8
Gallery Image 9
Gallery Image 10
Gallery Image 11
Gallery Image 12
Gallery Image 13
Gallery Image 14
Gallery Image 15
Gallery Image 16